Tanzanian Rockstar, Alikiba has released a brand new single titled “Mahaba“, to begin the new year.

Quotable Lyrics:
Sikuhizi hakuna mahaba yeh! Mahaba
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha
Ni neema ukiwa uhema mapenzi yanachosha yanafuja raha
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa
Uchungu wakulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Sina kumbukumbu ile kwamba ulinikosha noo!
Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Sina kumbukumbu hile kwamba ulinitosha noo!
Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh

VERSE 2
Sikiliza kwanza we mdada we mdada
Mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha
Natamani kuwa single ila nna upwili unakaba kooh
Mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho
Na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile
Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh
Na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile
Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh!
Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Aspen zip yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh!
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh


End